Leah


1

Habari Mary ni leah,Niko hapa kuku-appreciate. You have no idea how much umenisaidia. Niko Diani, na nilikua natafuta kijana mwenye ako humble, mwenye ataweza kunifanya niskie tena that spark of love. Nilikuwa nimejaribu agencies nyingi, lakini mara mingi nilipoteza pesa. Mary, wewe ni different! Ulisikiza needs zangu and made sure nimempata mtu naelewana naye.

Sasa niko in a happy space, nimepata kijana mwenye amenibadilishia maisha. He’s respectful, honest, and our connection imekua amazing. Admin Mary, your work is amazing na najua utaendelea kusaidia wengi. Baraka tele na shukrani nyingi kutoka kwangu!


Like it? Share with your friends!

1